Psalms 66:19-20

19 alakini hakika Mungu amenisikiliza
na amesikia sauti yangu katika maombi.
20 bSifa apewe Mungu,
ambaye hakulikataa ombi langu
wala kunizuilia upendo wake!
Copyright information for SwhNEN